Saturday, 18 March 2017


#
Habari
:Rais Dkt. John Pombe Magufuli amekubali kuipatia Kenya madaktari 500, watakaoisaidia nchi hiyo kukabiliana na tatizo la uhaba wa madaktari.
Serikali ya Kenya imesema ipo tayari kuwalipa stahili zote madaktari 500 watakaopatiwa kutoka Tanzania ikiwa ni pamoja na mishahara na nyumba za kuishi.

No comments:

Post a Comment